Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
hahaha...ha shem umenitisha kidogoNaona mama mchuchu ataachwa mda si mrefu ndio atakapo mkumbuka binamu obe
ujue nayo kuwa na mahusiano ni kipaji na ni kifungo tuachieni tuliojizoelea
Niwa nchi ganiUtani wako sio wa nchi hii
mama mchungaji salamu zakoPole sana mkuu SHIMBA YA BUYENZE NAJUA MUNGU ANAFANYA KITU KWAKO UPONYAJI NI LAZIMA NAMWOMBA MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA MATIBABU YAKO,UPONE LIPO TUMAINI TUNAPOMTEGEMEA
AMINI NA SIMAMA KATIKA NAFASI YAKO UKIMTEGEMEA :
ISAYA 53
5. Bali alijeruhiwa kwa
makosa yetu Alichubuliwa kwa maovu yetu adhabu ya amani yetu ilikua juu yake,Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona...
KUTOKA 23
25 Nanyi mtamtumikia BWANA,Mungu wenu naye atakibariki chakula chako ,na maji yako nami nitakuondolea ugonjwa kati yako
26.Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba,wala aliye tasa.katika nchi yako na hesabu ya siku zako nitaitimiza.
JEREMIA 30
17.Maana nitakurudishia afya ,nami nitakuponya jeraha zako,asema BWANA ,kwa sababu wamekuita mwenye kutupwa wakisema ni Sayuni ambao hamna mtu autakaye
JEREMIA 17
14. UNIPONYE,EE BWANA NAMI NITAPONYEKA,UNIOKOE NAMI NITAOKOKA,KWA MAANA WEWE NDIYE SIFA ZANGU.
NAKUTAKIA UPONYAJI WA MWILI NA ROHO DAMU YA YESU INENE MEMA
Pole mkuu damu ya Yesu ikufunike,Mungu atakupa wepesi maumivu yataisha katika jina la Yesu AmenNawe pia
mmmmh mkuu unatakiwa umlinde sio umsifie kiivyoTatizo ni huo weupe na ng'ombe vinalandana
Hata useme ng'ombe mia zinatoka tu
Yeye ni rangi na sio msambwandahahahha mm sina msambwanda
hahhaha atamuelewa hakuna namna huyu nae ni mwanaume anahitaji kuliwazwaBoss wake sijui kama atamuelewa
thanks honeyLove you too.
hahahhh nimekutisha wapi tenahahaha...ha shem umenitisha kidogo
Amen mama mtumishiPole mkuu damu ya Yesu ikufunike,Mungu atakupa wepesi maumivu yataisha katika jina la Yesu Amen
mie cheusiYeye ni rangi na sio msambwanda
Imekuwa hivyo tenammmmh mkuu unatakiwa umlinde sio umsifie kiivyo
Inabidi boss akatae tu maana hamna namna nyingine sasahahhaha atamuelewa hakuna namna huyu nae ni mwanaume anahitaji kuliwazwa
akikataa akimwambia boss nikimchukua shunie usilalamike mana hamu zinazidi atafanyaje
Ameen mama mchuchuPole mkuu damu ya Yesu ikufunike,Mungu atakupa wepesi maumivu yataisha katika jina la Yesu Amen
kwanini asinielewe na nishapata mwenza wangu ......kila kazi inamipaka siwezi kumlinda shunie wakati ninaye wakulinda na anaitaji pendo langu na kukaanae karibu muda wote iyo kazi nakuachia wewe virago vyangu vyote ........chukua .......Boss wake sijui kama atamuelewa
Avatar yako inasadifumie cheusi
iyo takuachia wewe umlinde aisee ufate misingi yote nilikuwa nikiifanya vishawishi vyakina msukuma lazima viwepo mwenzio nilikuwa navishinda.....
..... ......
iyo nimekuachia wewe shululuNimesikia, pia na kazi umeacha
Sijui ni kweli
hahahhhmmmmh mkuu unatakiwa umlinde sio umsifie kiivyo