Mbona yupo page 1 replies 9 tu(3 zangu) hafiki popoteKuna mtu hapa jirani kaanza kuusoma huu uzi, na hivi sasa yuko page ya tisa (9), kwa kweli namtakia safari njema ya matumaini...
Nahisi itachukua siku nne au tano kutufikia hapa tulipo.Kuna mtu hapa jirani kaanza kuusoma huu uzi, na hivi sasa yuko page ya tisa (9), kwa kweli namtakia safari njema ya matumaini...
Uzi utahamishwa tu na kuletwa hapaNahisi itachukua siku nne au tano kutufikia hapa tulipo.
Mzee wa ulozi yupo safarini South Sudan........leo sio bure full vurugu halafu kuna thread ya kibwege imeanzishwa Chit chat inatuongelea sisi
Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni
................
Hapana mkuu, anasoma page moja baada ya nyingine, mpaka amalize season macho lazima yamtoke....(10k-replies).....Mbona yupo page 1 replies 9 tu(3 zangu) hafiki popote
Kuna watu wana multiple ID
YY ni mkongwe
...............
Yule ni mdogo sana, achana nae.Mzee wa ulozi yupo safarini South Sudan........leo sio bure full vurugu halafu kuna thread ya kibwege imeanzishwa Chit chat inatuongelea sisi
Aliyekutangulia Kakutangulia tu! Tulieni
................
Nimejibu kidogo zen nimemuachia kathread makeYule ni mdogo sana, achana nae.
Inategemea na spidi yake, kuna mabingwa wakusoma kwa spidi, wenyewe wanasoma sentensi ya kwanza na sentensi ya mwisho....kiwiliwili hawana shida nacho.....Nahisi itachukua siku nne au tano kutufikia hapa tulipo.
AtatukomaHapana mkuu, anasoma page moja baada ya nyingine, mpaka amalize season macho lazima yamtoke....(10k-replies).....
We mkongwe acha kumendea makapuku
Karibu bossNimeipenda naombeni kujiunga na ukapuku wenye nguvu
Hahaha.rudi nyuma utamuona mkuu.Bundi gani tena huyo?
Aisee hii sasa ni balaa.
Kwani kuna mtu kaibiwa?Makapuku katika ubora