mambo ya jinohayo nililiwa mm usiku wa manane na kaka angu asee ikabidi tulalingoe ukiona mwanaume analia jua yamemfikaRoot canal! Maweeee! Pole mkuu. I hope everything will go well. Hata mimi huyu daktari kanichimba mkwara kama mambo yasipokaa sawa basi ni either root canal au kung'oa. Niko tayari kuling'oa kwa sababu shezy type jino linanimalizia hela balaa hili. Nitaling'oa tu niachane nalo kwa kweli na uzuri ni la huko nyuuuma hata akina Shunie hawatajua kama sina jino[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji6][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] urongooo
Ntatapika banaaKuna ile bone marrow nzito nzito kama kamasi zito katikati ya mfupa ukiipata ina utamu wake.[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kwema Shedede? Umefurahi safari hii kukuta naumwa jino eeh? Husna anaendeleaje? Lee huko porini hajambo?habar za usiku wadau
enhe shunie alikutafutia mimi eeh nimekuja sasaAsante
Mmmhh jamaanKuna ile bone marrow nzito nzito kama kamasi zito katikati ya mfupa ukiipata ina utamu wake.[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
jini-jinomambo ya jinohayo nililiwa mm usiku wa manane na kaka angu asee ikabidi tulalingoe ukiona mwanaume analia jua yamemfika
Km kuna mgojwa wa jino aje nimpe dawamambo ya jinohayo nililiwa mm usiku wa manane na kaka angu asee ikabidi tulalingoe ukiona mwanaume analia jua yamemfika
Thi[emoji1] takii[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jini nimeandika wapijini-jino
Binamu obe na msukuma umemuona shededeKm kuna mgojwa wa jino aje nimpe dawa
Hutaki nini?Thi[emoji1] takii
hapana sijafurahi pole sana mtani dr.lee ajambo kabisa ....... ....... .......Kwema Shedede? Umefurahi safari hii kukuta naumwa jino eeh? Husna anaendeleaje? Lee huko porini hajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]enhe shunie alikutafutia mimi eeh nimekuja sasa
mmmh mkuu najua unaongea mambo ya ki-biological duuh ila punguza bhna khaaa kidogo nitapikeKuna ile bone marrow nzito nzito kama kamasi zito katikati ya mfupa ukiipata ina utamu wake.[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Nililiwa-nilililiwa[emoji34]mambo ya jinohayo nililiwa mm usiku wa manane na kaka angu asee ikabidi tulalingoe ukiona mwanaume analia jua yamemfika
hahahhhhNililiwa-nilililiwa[emoji34]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jini nimeandika wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji382]
nimeona aliyepewa mzigo wala ha-deal nao wacha niendenao sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]