Makapuku Forum

Mkuu taratibu na usijechafua hiyo fani sitakuelewa..nafrahi kusikia hivyo

Tumeumbwa tofauti tofauti ili tushirikiane mkuu...bahati mbaya sana mfumo wetu wa elimu ulikuwa na lengo jema ila ulikosa dira kwa maana ya waliuweka walikuwa na lengo la kutufikisha mahali fulani ambapo hata wao hawajui ni mahali gani!
 

Unaleta mambo ya maana kwenye jukwaa la mambo ya kijinga?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…