Makapuku Forum

Kuna watu badala ya kuanzisha swaga utawasikia "mbona mpo kimya/humu ndani kumepooza sana"

Meseji km hii si bora ungeleta swaga tu
Inaboa
............
 
Safi sana mkuu.
Ni kweli humu ndani kuna watu wana ujuzi tofauti tofauti kama kuna mtu atakuwa na shida asisite kuuliza hapa,unaweza kusaidiwa kuliko ulivyotarajia.
 
Love lead the world
Humu watu tunajitambua kwahiyo km una ISSUE MUHIMU unasema but halazimishwi mtu kujadili kitu Fulani
Vilevile wasomi tupo wengi tu na tuna ishu zetu za kutuingizia JERO JERO

..................
 
Safi sana mkuu.
Ni kweli humu ndani kuna watu wana ujuzi tofauti tofauti kama kuna mtu atakuwa na shida asisite kuuliza hapa,unaweza kusaidiwa kuliko ulivyotarajia.

Kuna watu wanaonewa tu mitaani kwa kuwa hawana ujuzi wa sheria na hawana uwezo wa kuchangia consultation lakini kupitia hapa mtu unaweza toa ya moyoni ukapata ushauri ukafarijika sana....
 
Mkuu mandela umeongea points sana.
Mimi pia nilikuwa nashauri kama kuna mtu ana wazo ama jambo loloto linamsumbua na anaona anashindwa kuanzisha thread alete hapa sisi kama members tuweze kulichangia kwa ufasaha.
Tatizo watu wanapenda kulalamika......ukichunguza unakuta wenyewe hawaanzishi mjadala wowote ila kulalamika

Post # 3 imesema thread ni kwa mambo yote ya laifu
Mfano mimi naleta habari hapa..je wengine wanaleta nini?
Tuache ulalanishi...tulete mabadiliko kwanza wenyewe
...............
 
Sawa mkuu Bitoz naamini watu tumeelewana kabisa.
Sasa ni wakati wa kusonga mbele.
Tukianza kuvurugana mapema hata hawa wakongwe watatuona bure kabisa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…