Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Naona umerudi kutoka porini kivingine. Hewa safi itakuwa imeuburudisha urazini wako. Nitamuomba tajiri wako (Shunie) awe anakusakizia hizi safari za porini mara kwa mara.hahahahaha..... wakati mwingine huwa nawaza kwamba inatupasa tuwe-humble
mtu unaweza mwambia kwa unyenyekevu akakuskia ndio lakini huo unyenyekevu wako ulio utumia wala hautasaidia ivyo basi mwambie kwa hisia hasi (-) weather u-shout au kwa hasira mf.."usimwage mboga utakula wali mkavu"
labda pengine ndo jadi yetu wabongo bila kuambiwa kwa hasira au kwa sauti hatuwezi jiongeza wakati mwingine nafikiriaga bola kama tumeshindwa kuyafanya yaliyo yetu bora tukaige ya magharibi ....(my opnion)
"tembea pole pole barabara sio ya mamako" aisèee mnaweza liona hili neno linautata lakini ni neno lenye hisia zaidi pengine aliyeliandika(editor) alifikiria ajali zinazotokea madhara makubwa ambayo tunapata ukilenga zaidi kwenye nguvu kazi ya taifa kupungua........
asubuhi njema familia yangu
Kuwaponya/Awaponye wote. Nipo karibu au hata fununu sina?Ngubhaponya bhosa
kama namuona dr.lee wanguEngland EPL
Chelsea kutangaza ubingwa akishinda leo
Ndio naangalia apa kila la kheri simba yanguTanzania VPL
Mechi zimeshaanza tayari
Shem wange [emoji23]Habarini za alasiri Makapuku
WordSAWA wewe na sisi hatuko sawa,hivyo hatuwezi kufanya vitu vinavyofanana ,tumeumbwa tofauti ,tunahitajiana ndio maana unakuja huku kwa ratiba maalumu maana wapo watu tofauti na wewe unawahitaji na una uhakika utawakuta kwa hilo tumshukuru Mungu ..karibu sana.
safi dearPoa hbr ya kazi
[emoji23][emoji23][emoji23] na kweli aiseNi kweli we uitoe siri yako ili akutunzie nani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji85] [emoji85] nimejaribu tu mama mchuchuAsante kwa Nukuu Shunie ni zaidi ya Nukuu[emoji23] [emoji23]
Yes sir
Nimewahi kumuelezea kwenye Top Ten ya viumbe vyenye sumu kali duniani akiwepo piaKing Cobra bila kumsahau Box jellyfish
.........
NdagaNgubhaponya bhosa
Uchochezi huo shem [emoji85] [emoji85] [emoji85]Aisee nilikua sijui cc.Nyagei
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndio chama lako hilo shem wangeUchochezi huo shem [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Pole sana mama mchungajiHeri yao nilifua jana najuta!
Simba oyeeeee
Roger that Mr Mondray