Makapuku Forum

Sawa bosi tumekusikia
Mi nitaanza leo jioni kukutag kwenye 10 kubwa
........
 
Sawa tutajitahidi kukutag

Ila huwa naona una wasidizi wengi(natania)


Kazi yao ndio hiyo,si unajua kusudi la Mungu kukupa msaidizi,ni kanuni ya kibiblia...

MWANZO 2

18.BWANA MUNGU akasema ,si vyema huyo mtu awe peke yake ,nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.


Wasaidizi wanapaswa kuchukua majukumu yao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…