Maneno mazuri sana mama mchungajiHongera Masanja,Hongera Lulu ila kuhusu mimba ni muhimu sana kuitunza kwanza,zamani tulifundishwa kuwa hatupaswi kuzungumzia wazi sana kuhusu hali za ujauzito zaidi ya hospitali(kwa ajili ya vipimo,ushauri,ufuatiliaji) wazazi,mume,na watu unaotegemea wahusike kwenye safari yako ya kuwa mama,au baba sijui siku hizi mtaala wanaotumia watoto wetu ni version ipi..Mungu awasaidie
Ushauri muhimu sana huoAsante mama mchuchu nitaufanyia kazi huu ushauri
Asante mama mchungajiKaribuni sana Dar mkuu
RIPDar imenyesha huku kwetu,hakika nimekesha namshukuru Mungu na kumwambia Baba imetosha kwa wiki hii,jana kuna mtu amekufa maji jangwani masikini nimeona anavyotolewa nimeumiaaa maana alikua anahangaika kuokota machupa auze apate riziki,maji yamekatisha uhai wake
Nimeona leo asubuhi aisee, ilikuwa hali mbaya sanaUmeona hali ya mombo?ni kama wakati wa NUHU maji yalijaa mno jana magaria yanaelea hakika tuombe Mungu atulize dhoruba
Asante Ubarikiwe,umeamshwaje lakini,umepona mafuriko?Mungu akutunzeOMBI....OMBI....OMBI!!
Kutokana na thread kuwa na post/comment/reply nyingi kuliko yoyote ile humu JF na kufuatiliwa na watu wengi na kuwa na spidi kubwa ya watu kupost hivyo.....
Napendekeza kila mwenye segment/mada/kipindi humu abuni au awe anaanza na title/heading/kichwa cha habari/utambulisho.....inapendeza zaidi kichwa cha habari likiwa kifupi
Hii itarahisisha wale wanaopenda vipindi Fulani kuweka kufuatilia kwa urahisi hata kama wamechelewa maana watasearch hii option linapatikana kule juu pembeni Julia kwenye kila thread
Mfano iwe;
*Leo katika historia
*Nukuu ya Leo
*Neno la asubuhi
*Magazeti ya Leo
*Burudani ya usiku
*Top Ten
*Je Wajua ?
*Did you know
*viwanjani Leo
*Vunja mbavu
n.k
.
.
.
Natanguliza shukrani
Nawatakia asubuhi njema
...........
Wadada wengi hawajielewi kabisaSiku hizi ujauzito siku moja tunaona magazetini,ikiharibika tunatafuta wachawi,hatari sana
Mafuriko kwetu stareheAsante Ubarikiwe,umeamshwaje lakini,umepona mafuriko?Mungu akutunze
Umesomeka mvuvi, mambo vip lakiniOMBI....OMBI....OMBI!!
Kutokana na thread kuwa na post/comment/reply nyingi kuliko yoyote ile humu JF na kufuatiliwa na watu wengi na kuwa na spidi kubwa ya watu kupost hivyo.....
Napendekeza kila mwenye segment/mada/kipindi humu abuni au awe anaanza na title/heading/kichwa cha habari/utambulisho.....inapendeza zaidi kichwa cha habari likiwa kifupi
Hii itarahisisha wale wanaopenda vipindi Fulani kuweka kufuatilia kwa urahisi hata kama wamechelewa maana watasearch hii option linapatikana kule juu pembeni Julia kwenye kila thread
Mfano iwe;
*Leo katika historia
*Nukuu ya Leo
*Neno la asubuhi
*Magazeti ya Leo
*Burudani ya usiku
*Top Ten
*Je Wajua ?
*Did you know
*viwanjani Leo
*Vunja mbavu
n.k
Viandikwe kwenye utangulizi/post ya kwanza
.
.
.
Natanguliza shukrani
Nawatakia asubuhi njema
By
Nyangema
...........
Sanaaa shemelaUshauri muhimu sana huo
Ndio niniiiiiiiii
Kwema kabisaUmesomeka mvuvi, mambo vip lakini
Ila kama inataka kurudi tena sasa hivi, nipo masaki Kuna manyunyuKwema kabisa
Leo mvua imekata
.....
AsanteMafuriko kwetu starehe
Tushayazoea
.......
sawaOMBI....OMBI....OMBI!!
Kutokana na thread kuwa na post/comment/reply nyingi kuliko yoyote ile humu JF na kufuatiliwa na watu wengi na kuwa na spidi kubwa ya watu kupost hivyo.....
Napendekeza kila mwenye segment/mada/kipindi humu abuni au awe anaanza na title/heading/kichwa cha habari/utambulisho.....inapendeza zaidi kichwa cha habari likiwa kifupi
Hii itarahisisha wale wanaopenda vipindi Fulani kuweka kufuatilia kwa urahisi hata kama wamechelewa maana watasearch hii option linapatikana kule juu pembeni Julia kwenye kila thread
Mfano iwe;
*Leo katika historia
*Unbelievable Facts
*Nukuu ya Leo
*Neno la asubuhi
*Magazeti ya Leo
*Burudani ya usiku
*Top Ten
*Je Wajua ?
*Did you know
*viwanjani Leo
*Vunja mbavu
n.k
Viandikwe kwenye utangulizi/post ya kwanza
.
.
.
Natanguliza shukrani
Nawatakia asubuhi njema
By
Nyangema
...........
Huku Mabibo Beach jua limechomoza watu tumefua na kuanikaIla kama inataka kurudi tena sasa hivi, nipo masaki Kuna manyunyu