Nini tena shemela
hiyo kibaha mvua asbh hata dar ilinyesha asbh ndio nilichoguna mzee wa kinyereziNini tena shemela
Hongera Masanja,Hongera Lulu ila kuhusu mimba ni muhimu sana kuitunza kwanza,zamani tulifundishwa kuwa hatupaswi kuzungumzia wazi sana kuhusu hali za ujauzito zaidi ya hospitali(kwa ajili ya vipimo,ushauri,ufuatiliaji) wazazi,mume,na watu unaotegemea wahusike kwenye safari yako ya kuwa mama,au baba sijui siku hizi mtaala wanaotumia watoto wetu ni version ipi..Mungu awasaidie
Mimi niko poa, wa mkoani tumekuja kutafuta riziki mjini darsalama shemela umeamkaje na ww
Mimi niko poa, wa mkoani tumekuja kutafuta riziki mjini darsalama shemela umeamkaje na ww
Mmh acha nikae kimyaMimi niko poa, wa mkoani tumekuja kutafuta riziki mjini dar
Mimi niko poa, wa mkoani tumekuja kutafuta riziki mjini darsalama shemela umeamkaje na ww
Asante mama mchuchu nitaufanyia kazi huu ushauriHongera Masanja,Hongera Lulu ila kuhusu mimba ni muhimu sana kuitunza kwanza,zamani tulifundishwa kuwa hatupaswi kuzungumzia wazi sana kuhusu hali za ujauzito zaidi ya hospitali(kwa ajili ya vipimo,ushauri,ufuatiliaji) wazazi,mume,na watu unaotegemea wahusike kwenye safari yako ya kuwa mama,au baba sijui siku hizi mtaala wanaotumia watoto wetu ni version ipi..Mungu awasaidie
Karibuni sana Dar mkuuMimi niko poa, wa mkoani tumekuja kutafuta riziki mjini dar
Marahaba Shunie umeamkaje,Mungu katuamsh salama hakika sifa utukufu shukurani ni kwake nipo hapa namtfakari Mungu kwa matendo yake makubwa anayonitendea...ananipenda san ujue..NamshukuruShikamoo mama mchuchu
Marahaba Shunie umeamkaje,Mungu katuamsh salama hakika sifa utukufu shukurani ni kwake nipo hapa namtfakari Mungu kwa matendo yake makubwa anayonitendea...ananipenda san ujue..Namshukuru
Dar imenyesha huku kwetu,hakika nimekesha namshukuru Mungu na kumwambia Baba imetosha kwa wiki hii,jana kuna mtu amekufa maji jangwani masikini nimeona anavyotolewa nimeumiaaa maana alikua anahangaika kuokota machupa auze apate riziki,maji yamekatisha uhai wakeKibaha kwema, japo kulikuwa na mvua asubuhi, lakini sasa pako Safi
Jamaan inasikitisha aseeeDar imenyesha huku kwetu,hakika nimekesha namshukuru Mungu na kumwambia Baba imetosha kwa wiki hii,jana kuna mtu amekufa maji jangwani masikini nimeona anavyotolewa nimeumiaaa maana alikua anahangaika kuokota machupa auze apate riziki,maji yamekatisha uhai wake
Umeona hali ya mombo?ni kama wakati wa NUHU maji yalijaa mno jana magaria yanaelea hakika tuombe Mungu atulize dhorubaJamaan inasikitisha aseee
Amen asante dearsifa na utukufu ni za Mungu aliye juu ubarikiwe mama mchuchu
Siku hizi ujauzito siku moja tunaona magazetini,ikiharibika tunatafuta wachawi,hatari sanaAsante mama mchuchu nitaufanyia kazi huu ushauri
Mhhhhhhmhhhhhhiyo kibaha mvua asbh hata dar ilinyesha asbh ndio nilichoguna mzee wa kinyerezi
ni ulimbukeni sijuiSiku hizi ujauzito siku moja tunaona magazetini,ikiharibika tunatafuta wachawi,hatari sana
Umeona hali ya mombo?ni kama wakati wa NUHU maji yalijaa mno jana magaria yanaelea hakika tuombe Mungu atulize dhoruba
shemela ww guna tuMhhhhhhmhhhhh