Akiwa mke wangu ni sawa tu. Si nitakuwa nimemchagua mwenyewe? Maji ukiyavulia nguo ni lazima uyakoge hata kama ni ya moto/baridi balaa. Ndiyo maana kuna umuhimu wa kuyachunguza kwanza kabla hujaanza kuchojoa, siyo unachojoa tu kisa eti umeona maji na una hamu ya kukoga!