Makapuku Forum

Umepatia msukuma
Lugha za Kibantu. Zinashirikiana mizizi na misingi mikuu ya kisarufi yakiwemo mabadiliko ya Kifonolojia na Kimofolojia. Ukopaji wa maneno kutoka lugha zingine ili kukidhi mahitaji ya wazungumzaji ndiyo kidogo huchanganya lakini kama ni neno lenye asili ya Kibantu basi mzizi wake utakuwa ni ule ule haijalishi kama hiyo lugha inazungumzwa Afrika Kusini, Cameroon, Kongo au Koromije. Mfano tiririkeni hapa neno kiatu linavyotamkwa katika lugha zenu tuone:

Kikoromije = gi-latu/shi-latu/ji-latu
Kiswahili = ki-atu
Kinyamwezi = shi-latu
Kichaga =
Kindali =
Kilingala =
.....
 
Kindali = kibatu
 
Kindali : chilato
 
Ikilatu

cc Mndali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…