Makapuku Forum

Eti shunie huyo nani kwani
huyo anaitwa husna toka mwanzo nilimwambia akae kwa shemela shululu atulie ale maisha akawa haeleweki kaenda kwa mondray kuruka ruka naona huko yameshamshinda

anataka kurudi huku ndio haiwezekani tena tumosa tumeshakukabidhi usijal mamy shululu ni wa kwako pekee hana makando kando ana tabia kama za baby wangu halaf sijakutambulisha kwa Mr wangu ngoja akirudi nitakutambulisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…