Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

Family is the most important thing in the world

Familia ni kitu muhimu zaidi duniani


Haya maneno yalipatwa kusemwa na Diana Francis ama Princess Diana of wales.

Princess Diana alizaliwa 01/07/1961 katika jiji la Norfolk, Diana ni mtoto wa nne wa John spencer na viscout Althorp.

Princess Diana aliolewa na Prince Charles mwaka 1981 na kuzaa nae watoto wawili Prince William na Prince Harry kabla ya kutalakiana mwaka August 28 mwaka 1996.

Princess Diana anakumbukwa sana kwa kazi zake za kujitolea kwa watoto na kampeni zake mbali mbali za utetezi kwa wanyonge.


Princess Diana alifarikia kwa ajali ya gari nchini Ufaransa siku 363 baada ya kutalakiana na Prince Charles .

Kuna utata sana juu ya kifo chake huyu mama..Ripoti ya serikali inasema ni uzembe wa Dereva wake kwa kuwa alikuwa amelewa lakini kuna tetesi zinadai kifo chake kilipagwa na M16 ya uingereza baada ya Diana kuwa na uhusiano na mtengeneza filamu wa ki-misri Dodi Fayed.


Kila mtu anapenda familia, kwa wale ambao mpo kwenye ndoa mtakuwa mmenielewa kirahisi...

Kila mtu anataka awe na good family..

Niwatakie kila la kheri.
 
ZABURI 116
1.Haleluya,Nampenda BWANA kwa kuwa anansikiliza sauti yangu na dua zangu.

2.Kwa maana amenitegea sikio lake,Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.

3.Kamba za mauti zilinizunguka,Shida za kuzimu zilinipata,Naliona tabu na huzuni.

4.Nikaliita jina la BWANA ,Ee BWANA ,nakuomba sana ,uniokoe nafsi yangu.

5.BWANA ni mwenye neema na haki,Naam ,Mungu wetu ni mwenye rehema.

6.BWANA huwalinda wasio na hila,Nalidhilika akaniokoa.

7.Ee nafsi yangu urudi rahani mwako,Kwakuwa BWANA amekutendea ukarimu.

8.Maana umeniponya nafsi yangu na mauti,Macho yangu na machozi Na miguu kuanguka

9.Nitaenenda mbele za BWANA katika nchi ya waliohai.

10.Naliamini ,kwa maana nitasema Mimi naliteswa sana

11 Mimi nalisema kwa haraka yangu wanadamu wote ni waongo

12 Nimrudishie BWANA nini kwa ukarimu wake wote alionitendea?

13 Nitaipokea kikombe cha wokovu;Na kulitangaza jina la BWANA,

14 .Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA,Naam ,mbele za watu wake wote.

15.Ina thamani machoni pa BWANA mauti ya wacha Mungu wake

16 Ee BWANA ,hakika mimi ni mtumishi wako,Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako,umevifungua vifungo vyangu .

17.Nitakutolea dhabihu ya kushukuru ;Na kulitangaza jina la BWANA.

18.Nitaziondoa nadhiri zangu kwa BWANA ,Naam ,mbele ya watu wake wote.

19.Katika nyua za nyumba ya BWANA ,ndani yako ,Ee Yerusalemu.


Wapendwa nashukuru sana Mungu ameniponya ,nawashukuru kwaupendo, maombi na kunijali haikua rahisi ila Mungu amenitendea makuu kwa maombi yenu.


MBARIKIWE SANA SANA,NAWAPENDA MUWE NA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO
 
Wanaiasa wapo kimaslahi zaidi
Jiulize Dereva au muhudumu wa mochwari awe na elimu ya form 4 lakini mbunge awe anajua kusoma na kuandika tu
Pia rasimu ya katiba mpya waliondoa vifungu vyote vinavyowagusa mfano Wabinge wasiwe Mawaziri...usishangae katiba mpya hadi leo kimya sababu haina maslahi kwao
....

..
.
 
Na Ndio Maana Siamini Ktk Siasa
 
Uhusiano wake na mtoto wa tajiri Mohamed All Fayed (Dodi) ulitikisa sana ukoo wa Kifalme maana ilikuwa aibu kwa mumewe na pia Wazungu hawataki kuchanganya damu na Waarabu
Pia alikuwa rafiki mkubwa wa Mama Theresa sababu ya kusaidia maskini na wasiojiweza
Mwanawe Prince Harry siku hizi nasikia ni teja na chapombe wa kutupwa
.
.
.
Shukrani mkuu kwa nukuu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…