shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante kwa leo katika historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Nawe pia siku njema
Tupo na kifushi cha wiki mbili cha mvua
Asante kwa leo katika historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Niaje shededewakuu habar za asubuhi
source nyigi huwa zinaonesha hakupatikana ..Hivi ni kweli Babushka lady hakupatikana mpk leo? Ila tukio la kuuwawa kwa JFK limebaki na nadharia nyingi sana
ilikuwa hatari sana japo mpaka sasa yapo ila zamani ilikuwa too muchMh,zamani kulikuwa na mauaji ya kutisha sana
Inasikitisha sana bank kufilisika
big respect DiktetaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
mwekahazina kiongoziii uko poaaInasikitisha sana bank kufilisika
Ahsante mkuu kwa magazetiKutoka kwenye Meza ya magazeti sina la ziada tukutane tena kesho
Jumanne njema makapuku wote
Shukrani kwa UF mkuutuwe na siku njema wakuu
![]()
Ndio ninajipanga hapa niweke mambo sawa.mwekahazina kiongoziii uko poaa
ukumbusho tu bado mechiii mojaa chelsea tunyanyue makwapa juu
Salama mkuuwakuu habar za asubuhi
Ulisema ni sanamu ya watu warefu wamesimama sivyo?Nimeitafuta sijaipata si unajua hii forum iko mbali sana sema ukifungua thread unaona picha ya hizo sanam
Mi niko poa mkuu habari ya hapo ulipoMorning mkuu
Pamoja kamanda mkuuAsante kwa kuyapitia
Asante kwa historia mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Afandee mi nasomeka kwa 5 habari za hukowakuu habar za asubuhi