Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2017 #183,443 Usomi mwisho UE ....
BATULUNGE JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 392 Reaction score 635 May 9, 2017 #183,444 Mndali ndanyelakakomu said: Mbona unataka kuvua samaki kwenye ndoo wakati unajua Hiyo ndoo ina mwenyewe Click to expand... Hahaa mkuu vp Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Mndali ndanyelakakomu said: Mbona unataka kuvua samaki kwenye ndoo wakati unajua Hiyo ndoo ina mwenyewe Click to expand... Hahaa mkuu vp Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 9, 2017 #183,445 Chakorii said: Anayo huyoooo mwenye kutangatanga kama kware. Mwisho atatongoza vikongwe we mwache maana kazid unaeza jua kuna tuzo anaiwania Click to expand... Haya maneno yako mazito msamehe huyu tunaita jogoo kinda anapalamia popote
Chakorii said: Anayo huyoooo mwenye kutangatanga kama kware. Mwisho atatongoza vikongwe we mwache maana kazid unaeza jua kuna tuzo anaiwania Click to expand... Haya maneno yako mazito msamehe huyu tunaita jogoo kinda anapalamia popote
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2017 #183,447 Nchi ina mabalozi wengi .....
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 9, 2017 #183,448 Bitoz said: SHIMBA na bodaboda yake ...... Click to expand... Oooh hii itakuwa ajari maana huo mzigo ni zaidi ya danger
Bitoz said: SHIMBA na bodaboda yake ...... Click to expand... Oooh hii itakuwa ajari maana huo mzigo ni zaidi ya danger
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2017 #183,449 ] Messirappa gumzo Iran ........
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 May 9, 2017 #183,450 Chakorii said: Mbuta nanga umekosea mkuu huwa sinaga historia ya kutia huruma hata chembe.chaah Click to expand... sawa mkuu
Chakorii said: Mbuta nanga umekosea mkuu huwa sinaga historia ya kutia huruma hata chembe.chaah Click to expand... sawa mkuu
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 9, 2017 #183,451 Chakorii said: Mimi she-male Click to expand... Sawa mkuu
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2017 #183,452 Nasuburi mvua ziishe niwaletee 10 kubwa .......
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 9, 2017 #183,453 Bitoz said: shedele ...... Click to expand... Hilo jibu ni tamu sana
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 May 9, 2017 #183,454 BATULUNGE said: Hahaa mkuu vp Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app Click to expand... Poa kiongozi we endelea na uvuvi wako haramia wenyewe wakija sitakusaidia hata kidogo
BATULUNGE said: Hahaa mkuu vp Sent from my Lenovo A806 using JamiiForums mobile app Click to expand... Poa kiongozi we endelea na uvuvi wako haramia wenyewe wakija sitakusaidia hata kidogo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 9, 2017 #183,455 Shunie said: safi shemela wangu mzee wa kinyerezi nimeona picha leo kwenye lile daraja lenu linalowahunganisha na segerea halifai gari limesombwa na maji Click to expand... Shemela buana, kinyerezi mimi ni mpitaji tu, sasa hivi nipo zangu conteiner kibaha
Shunie said: safi shemela wangu mzee wa kinyerezi nimeona picha leo kwenye lile daraja lenu linalowahunganisha na segerea halifai gari limesombwa na maji Click to expand... Shemela buana, kinyerezi mimi ni mpitaji tu, sasa hivi nipo zangu conteiner kibaha
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 9, 2017 #183,456 Archduke said: kwema mkuu habari ya kwako Click to expand... Nzuri mkuu, za pande hizo
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 9, 2017 #183,457 Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu mzima mzee wa picha ndege Click to expand... Mimi mzima mkuu, habari za vwawa
Mndali ndanyelakakomu said: Mkuu mzima mzee wa picha ndege Click to expand... Mimi mzima mkuu, habari za vwawa
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 May 9, 2017 #183,458 Dk za majeruhi ......
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 9, 2017 #183,459 Shunie said: ww ndio lee au hii pia ni I'd yake Click to expand...
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,715 May 9, 2017 #183,460 Yanga washachukua ubingwa kwa msimu huu