Makapuku Forum

Kuna kitu najifunza hapa, kuna kamsemo fulani ka kajamaa fulani keupe 'never underestimate the power of stupid people in a large group' nina maana nzuri tu...kwamba watu tukiamua tunaweza... leo kuna mtu mmoja alikaa na mtu mwingine wakaja na hili nwazo la Makapuku na muitikio umekuwa chanya sana,perhaps Th Name ana nyota ya chips mayai who knows ila kwa muktadha huu huu naamini atatokea mtu mwingine (na yupo) ambaye ataanzisha forum 'wapi tulipokosea na ni nmna gani tuendelee mbele kuepuka makosa ya zamani' naamini kwa dhati kabisa kwamba kwa mawazo yetu tunaweza kuirusha dunia kichura chura...Cheers!
 
Mkuu ondoa hofu hii forum ni moto WA kuotea mbali .....mtu akileta thread km hii itahamishiwa himihumu
Huwezi kuiga "cha MTU"
...................
 
Mkuu ondoa hofu hii forum ni moto WA kuotea mbali .....mtu akileta thread km hii itahamishiwa himihumu
Huwezi kuiga "cha MTU"
...................

Salute! mimi ni mmoja wa watu wachache ambaye sijawahi kudharau jambo,hata kama wengi wataliona ni la kipuuzi...nakuhakikishia JF ni zaidi ya ofisi,ni Zaidi ya kijiwe...to my opinion nadhani ni Zaidi ya chuo kikuu cha elimu dunia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…