Makapuku Forum

Mkuu ingewezekana ungeitafsiri Kiswaz maana wengine tumeishia la 7 ungenge haupandi.
.
.Shukrani Mkuu
...........
 
Chelsea atatangaza ubingwa mechi ijayo akishinda tu au km Spurs akianza halafu ashikwe
Chelsea tayari ubingwa
Hongereni Blues.
..
.
.Nimesikitika Boro kushuka daraja mimi ni shabiki wao wa enzi zile za akina Southgate, Viduka
......
Ndio kashushwa rasmi jana na Chelsea
Ana alama 28 Hull City ana alama 34 mechi mbili zimebaki na Swansea ana alama 35
 
Hivi ni kweli Babushka lady hakupatikana mpk leo? Ila tukio la kuuwawa kwa JFK limebaki na nadharia nyingi sana

Wamarekani sio watu wa kuwaamini wapo kimaslahi zaidi....inawezekana alipatikana na pengine anajulikana ila wanaficha tu au walishamalizana nae kimyakimya ili kuficha tu madudu yao
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…