Makapuku Forum

una utani wa kweli we mkolomije
 
TOP TEN
John F Kennedy anafahamika kama miongoni mwa Marais wa Marekani waliokaa madarakani muda mchache zaidi
.
Sasa leo tunawajadili viongozi waliokaa madarakani(walioyatumokia madaraka) kwa muda mchache zaidi
Kati yao hakuna aliyefikisha hata kawiki pamoja akiyatumikia hayo madaraka aliyoyapata/pesa
Karibuni
..........
 
Leta mambo
 
10/Sultan Khalid Bin Bargash
Huyu alikuwa Sultani wa Zanzibar mnamo mwaka 1869 baada ya kifo cha binamu yake lakini akaonja madaraka kwa siku mbili tu
Waingereza baada ya kusikia Bargash kawa kiongozi wa Zanzibar walimpa masaa 24 aachie madaraka kwa hiyari yake lakini akawagomea na kupelekea baada ya siku moja kupita Waingereza watume meli zao za kivita na wanajeshi
Hapo ndo ikazaliwa vita iliyojulikana kama Anglo Zanzibar War ambayo ilidumu kwa muda wa dk 38 pekee iliyoisha August 27 1869 na kuwa miongoni mwa vita fupi zaidi kupiganwa duniani
Wakati wa vita hiyo Wazanzibar waliokufa na kujeruhiwa ni 500 wakati Mwingereza aliyeumia ni mmoja pekee, boti mbili zilizama
Hivyo jamaa alitawala kwa siku 2 tu
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…