Makapuku Forum

Makapuku Forum

e6026b5fd87dfb522750d3aa3d48ba4d.jpg
 
Tunakimbiza kamanda...Tumekuja kijiweni hapa wapi mashemeji zangu aisee... Jimena, wapi lizziebettie , Wap Patience123 wapi aggyjay wapi my one and only wife amaizing wap Nahrene bila hawa watu kijiwe huwa hakichangamki asee..
Niko shemeji,nlikuwa napata gahawa na kashata kujiongezea joto,maana nipo single kwa sasa,sina wa kunisababishia joto toka jambilo anipige chini,,fanya fanya ukapokee maono mengine,ila yasiwe maono ya kichina kama yale tasavali.
 
Shemeji wangu kwanza nakupongeza kwa kufanya uwamuzi sahihi maana mtumish jambilo si tu amepinda ila amenyongorota kabisa na hii sasa nitahakikisha unapata kilcho chema sana Shemeji yangu... sumbai, HOPECOMFORT hata sizzya007 waione hii kwanza halafu ntakwambia kitu shemeji..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom