...well, niko kwenye mchakato wa kupata simu ya camera, mjombaangu lee empire ataniletea nitaipiga picha uione. Au kama vipi naweza kukupatia kabisa kama zawadi (kupenda si jambo dogo-ni kujitoa sadaka)
Nipo mama. Nahangaika na kilimo cha umwagiliaji hapa Koromije. Kumbuka nilishawapa ofa ya kuwachinjia ndama mnono au ligulyati (dume) la mbuzi siku mtakapokuja kutalii huku. Ofa yangu bado iko pale pale. Na itafurahisha zaidi mkija bila mlinzi!