Makapuku Forum

Kwa herini, muwe na usiku mwema.. Mpaka wakati mwingine tena Mungu akijaalia...

Mume wangu T, love you roho yangu... Usiku mwema hubie.. Ukinimiss you know where to find me... Take care, I always love you
I know my love...

Nakumiss kila muda...i miss you already..

Ila najua pa kukupata mama..!

You have always become my backup when things seems to be wrong and boring..

Wee mwanamke Mungu akupe miaka mingi...sijui nitakulipa nini hata..

I love you sakayo wangu..
 
Asante sana Obe Ubarikiwe sana
 
Love you more hubby, hata ndugu zako wanajua venye nakupenda...

Usijali mume wangu kipenzi, upendo wako kwangu ni zaidi ya malipo...

Ahidi kunipenda tu. Hilo latosha kwangu lovie....

Nshakumiss tayari, ila daaaah.... Naomba nilale love...

Ukinihitaji nipo kwa ajili yako T wangu...... Mungu akutunze jamani

Usiku mwema again, love you honey
 
I am speechless
...

Pumzika mke wangu..
 
Muangalie basi. Mtakuja kucheza hata pono za maneno hapa muwasumbue walinzi akina Shedede
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…