Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiii nimecheka kwa sauti mama angu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha tucheke my dear maisha yenyewe mafupi,hapa nalia watoto waliofariki yupo mtoto binamu yangu alimsimamia ubatizo.ni mtoto namfahamu vizuri .watoto wamezimika kama mishumaa kwenye upepo...wapumzike kwa amani[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Jamaan polen sana mama mchuchu Mungu awapumzishe mahali peponi ameen [emoji120]

ila haujakosea mama mchuchu lee ananiweza kweli nakua mpole nimemmiss jamaan lee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…