Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,225 Reaction score 39,940 May 5, 2017 #180,181 shululu said: Bila shaka kabisa Click to expand... Unatafuta nini makaburini?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #180,182 shedede said: wakuu habar nigani ??? Click to expand... Nzuri mkuu
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,225 Reaction score 39,940 May 5, 2017 #180,183 shululu said: Emirates nakufunga aisee Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani Click to expand... Mnafungwa, unamskiza Jose???
shululu said: Emirates nakufunga aisee Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani Click to expand... Mnafungwa, unamskiza Jose???
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #180,184 Bitoz said: Hao ni wazima kiuzazi Hivyo wanafanya km ww unavyofanya tofauti staili tu Tena kwenye hiyo listi wapo waliozaa watoto zaidi ya 20 ila nikasahau kuandika kuhusu hilo .......... Click to expand... Asante kwa nyongeza
Bitoz said: Hao ni wazima kiuzazi Hivyo wanafanya km ww unavyofanya tofauti staili tu Tena kwenye hiyo listi wapo waliozaa watoto zaidi ya 20 ila nikasahau kuandika kuhusu hilo .......... Click to expand... Asante kwa nyongeza
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,225 Reaction score 39,940 May 5, 2017 #180,185 shululu said: Huyo ndio mukongo Click to expand...
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 5, 2017 #180,186 BlessedHope said: Mungu yu mwema anayo makusudi kwa kila kiumbe chake,wacha Mungu aitwe Mungu,ametuumba kwa jinsi ya ajabu na kutisha tumshukuru sana tuwaombee wakuewawe na furaha na amani ili kusudi lake Mungu litimie Click to expand... HAKIKA MUNGU YU MWEMA
BlessedHope said: Mungu yu mwema anayo makusudi kwa kila kiumbe chake,wacha Mungu aitwe Mungu,ametuumba kwa jinsi ya ajabu na kutisha tumshukuru sana tuwaombee wakuewawe na furaha na amani ili kusudi lake Mungu litimie Click to expand... HAKIKA MUNGU YU MWEMA
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #180,187 werrason said: Mwambie lee anyoe Click to expand... Haaaaahaaaa
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #180,188 BlessedHope said: Ukifuatilia sana ,walemavu wana kizazi sana Mungu hawezi kukunyima kila kitu Click to expand... Ni kweli huwa wanazaa sana, tena bila tatizo lolote
BlessedHope said: Ukifuatilia sana ,walemavu wana kizazi sana Mungu hawezi kukunyima kila kitu Click to expand... Ni kweli huwa wanazaa sana, tena bila tatizo lolote
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 5, 2017 #180,189 lothrito said: Mambo vipi humu ndani Click to expand... aisee poa kabica mkuu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 May 5, 2017 #180,190 werrason said: Mnafungwa, unamskiza Jose??? Click to expand... Dakika 90
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 5, 2017 #180,191 shululu said: Nzuri mkuu Click to expand... vizuri mkuu
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,495 Reaction score 35,288 May 5, 2017 #180,192 shululu said: Emirates nakufunga aisee Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani Click to expand... Ndio unafikiri utafunga au? Jidanganye
shululu said: Emirates nakufunga aisee Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani Click to expand... Ndio unafikiri utafunga au? Jidanganye
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 5, 2017 #180,193 werrason said: Click to expand... bwana yesu asifiwe sana
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 5, 2017 #180,194 shedede said: wakuu habar nigani ??? Click to expand... Njema Shedede Mapembelo?
BlessedHope JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,988 Reaction score 32,649 May 5, 2017 #180,195 Shunie said: Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 5, 2017 #180,196 werrason said: Mwambie lee anyoe Click to expand... una utani na lee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 5, 2017 #180,197 werrason said: Af wewe!!!.....we unataka weka muziki uskize mwenyewe!!! Click to expand... hahaha kazi yako tunaiona unatuharibia mama yetu
werrason said: Af wewe!!!.....we unataka weka muziki uskize mwenyewe!!! Click to expand... hahaha kazi yako tunaiona unatuharibia mama yetu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 5, 2017 #180,198 shululu said: Sana, Enzi hizo lakini, nafikiri kwa sasa pamefungwa Click to expand... wamefunga kwa nn
shululu said: Sana, Enzi hizo lakini, nafikiri kwa sasa pamefungwa Click to expand... wamefunga kwa nn
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 May 5, 2017 #180,199 BlessedHope said: Njema Shedede Mapembelo? Click to expand... mapembelo wawene dada
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 May 5, 2017 #180,200 shululu said: Lee hajarudi tu Click to expand... nahisi kesho anaweza rudi mara moja mpk jumapili