Makapuku Forum

10/Rocket Propelled Grenade(RPG)
Hii ilitengenezwa maalumu kupambana na ndege zenye matenki na vifaa vingine
Ilitengenezqa wakati wa utawala wa kiNAZI huko Ujerumani
Ndo silaha hatari ya kuharibu matenki duniani
Pia ni silaha rahisi maana inabebeka tu began I...mwanajeshi mwenye mafunzo maalumu anaweza kutumia silaha hii rahisi kuharibu matenki ya mamilioni ya dola
Ilitumiwa pia na Viet Cong wakati wa Vita ya Vietnam na Mmarekani akaambulia aibu
Jeshi la Vietnam pia linawaogopa Mujahedeen maana wana ni hatari kwa vyombo km magari
........
 
aiseee
 
Duh!yote ni binadamu
 
9/The 50 Cal Sniper Rifle
Inafahamika pia kama SDR-50
Mwanzo kabisa ilitengenezwa maalumu kwa ajili ya Polisi wadunguaji ambao ilijulikana kama SDR-1
Ni bunduki yenye kasi na breki ambao ina uwezo wa kuzuia usitokee mlipuko mkubwa pindi inapotumika
Pia imetengenezwa maalumu kwa ajili kukwepesha matundu kwenye vyombo vya maana unaweza kupiga hata kwa ndani yaani kuweka tobo dogo lakini madhara mkubwa
Hii km jina lake inatumiwa zaidi na wadunguaji
.. ...
 
Binamu naomba picha ya saa

...okay, ngoja niiphotoe, then nikaprint afu niscan ndo niweke kwenye joystick halafu niisave kwenye computer. Si unajua natumia desktop kuingia humu JF na hasa huku Makapuku forum.

BTW, sikujua kama saa yangu ina alarm, ndo imenishtua leo nikajua spika za masjid kumbe alarm
 
8/Flamethrower
Waswahili husema dawa ya moto ni moto.....hii Ni silaha maalumu kwa ajili ya kutengeneza mkondo wa moto(kuwasha moto katika uelekeo maalumu)
Kiligunduliwa na Wagiriki wa kale wa karne ya 1 AD
sasa kikaboreshwa na Wajerumani chini ya Dikteta Hitler na kutumia kwenye WW1 na WW2 kana silaha ya maangamizi kwa maadui zake yaani ni mwendo kuteketeza wanajeshi Maadui km kuchoma karatasi tu
.

Siku hizi imeboreshwa zaidi na kuwekwa katika size mbalimbali kwaajili ya kutumika kizima moto kwa kutumia moto( kuunganisha mikondo ya moto) ili kupunguza madhara usisambae
.......
 
7/Schwerer Gustav

Hiki ni kama kifaru ila kinatumia reli maalumu
K ilitengenezwa na Krupp huko Ujerumani mnamo mwaka 1930
Ilibuniwa maalumu kwaajili ya kupambana na Wafaransa ambao walikuwa vizuri kiulinzi na kuweka mstari ilijulikana km Maginot Line
Hii mashine Unaweza kuwa na uzito hadi wa Gani 1350 na uwezo wa kulipua maghala au meli yenye uzito wa gani 7 iliyopo umbali wa Km 47
Ilitumika wakati wa WW2
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…