Makapuku Forum

R.i.p Rashid
Asante Bitoz kwa picha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi binamu hiyo avatar unaendana nayo eenh kitu cha weed kinapanda

Hapana, weed ni haramu kwa serikali na vyombo vyake. Lakini ni tiba ya jino, sikio, 'asazi', kiungulia, pumu.

Kifupi hii avatar yangu siendani nayo, mimi sfugi rasta.

kama inakukera itabidi nibadili, si unaona BlessedHope kabadili🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…