Makapuku Forum

Yaani juu pameandilwa ajira mpya
Chini benki 3 hatarini kufungwa
Ndo yaleyale niliyosema watu wanaoondoka kwenye ajira sekta binafsi na serikalini kutokana na kuyumba kwa uchumi na zinema ya vyeti feki ni wengi kuliko ajira mpya
Km ni ukuaji wa uchumi basi tupo -be yaani mstari wa graph unaenda chini

.
Shukrani kwa magazeti
.........
 
Nyagei umetisha
 


....bila kuilinda sekta binafsi , tatizo la ajira tutabaki kulilia bila kulitatua. Najua bado ni mapema kusema lakini rais wetu kauli zake ni za kubeza sekta binafsi na hi si afya ya ajira kwa umma.

Zama za serikali kuajiri na kuwa mwajiri mkuu zinaenda zinapita, serikali ijikite kwenye kuwezesha sekta binafsi ili ziajiri wengi.


Tungekuwa jukwaa jingine ningesema hakuna mwizi mkubwa kama serikali, yaani anawaibia hata ambao hajawawezesha kupata ajira.
 
Nafikiri ishu yake ya kutimuliwa USA ni siasa tu na kuoa vitoto vidogo ni zengwe
.....
 
Jamaa linachukia matajiri ambao ndo watoa ajira wakubwa
Yaani sekta binafsi zinaenda shimoni mfano tenda za ujenzi hawapewi, sekta ya elimu Sizonje akiwa UDSM amevisimanga vyuo binafsi eti vijifie vinazalisha vilaza n.k
Huyu Rais ni mropokaji pia ana kauli chafu yaani anaongea tu km jenereta hagikirii kauli zake

.
Nafikiri nukuu zake zitadumu km za Nyerere ila sio kwa uzuri au ubora bali upuuzi wake
......
 
Tongotongo la Asubuhi
Simba mpanda miti
Sina hii ya Simba wanapatikana Tanzania pekee
Sasa mtu unaenda mbugani ukijua simba ujifovha tu kwenye nyasi hivyo kutembea kwa mavhale kumbe mnyama yupo juu ya mti anakuchora tu
Asubuhi njema
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…