eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Usiku mwema wote humu
hahaha... huu uzi ni unlimited1 kati ya uzi ulio active sana hapa jamvini.Makapuku kwenye ubora wetu
Poa mkuu hamna noma..Niko poa mkuu
Mkuu kumbe na wewe upo kwa chama hili? saafii#GGMU
Asante mkuu.na kwako pia chief.
mia miaAsante mkuu.
uko active sana,picha na vioja vya kutosha.hahaha... huu uzi ni unlimited
chama langu hili mkuu,sema n tia maji tia majiMkuu kumbe na wewe upo kwa chama hili? saafii
ni zaidi ya 120Naona mwendokasi huu
tutarudi tuu kwenye ubora wetu. #Believechama langu hili mkuu,sema n tia maji tia maji
Soon tunafika 18000ni zaidi ya 120
Inaonekana wewe unaogopa kuoga usiku kwa kisingizio cha maji kuwa ya baridi.Watu mnakimbia sana,mtatufanya hata kuoga tusioge sasa.
Na ubunifu wa kutoshauko active sana,picha na vioja vya kutosha.
Hahahah wataelewa tuNa ubunifu wa kutosha
Hatimae tumefikaSoon tunafika 18000
Nimekupata Mkuu Bitozi . Pamoja sanaUswaz
Joto City
............
Mpaka weekend tutafika 20000Hatimae tumefika