Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
kuna nini hapa mnaniitahahaha cc: peterchoka
Hawamtaki WengerMashabiki wa Arsenal wamesusa leo kwenda uwanjani
![]()
wewe endelea kumfundisha na uhakikishe anapata na cheti chakeUnataka mkuu?
Naweza kukufanyia booking.
youngblood alikuwa ndio anakuita so nikamsaidiakuna nini hapa mnaniita
Wenger ni jipu aiseeHawamtaki Wenger
Sidhani kama atafukuzwa paleWenger ni jipu aisee
Wenger naye kapuku tu, hana makombe ya kutoshaWenger ni jipu aisee
Atapata mkuu usijaliwewe endelea kumfundisha na uhakikishe anapata na cheti chake
Washabiki kindakindaki hawamtakiWenger naye kapuku tu, hana makombe ya kutosha
Kf-kapuku forumwakuu naomba kuuliza kunatofauti gani kati ya KF na JF wakongwe? Kwa wenye uelewa watanielewa namaanisha nini ila kwa wale wenzangu na mie itakuwa ni tofauti ...
Huyu kapuku Bitozi anapatikana wapi?Mshikamano wenu unatisha, huu uzi hauna jambo mahususi la kujadili lakini umekuwa na mvuto wa aina yake, hii ilinipelekea kuufananisha na ididingo the need, wengine wanaingia na wengine wanatoka, usiku na mchana hukosi mtu hapa.
Nawatakia majadiliano mema na ya amani na zaidi ya yote hitimisho lake liwe au yawe niambo yenye tija katika maisha yetu ya kila siku .
Mungu awalinde, awape ushirikiano na upendo wa dhati miongoni mwenu
Amen
Wenu
Jeimbiliuo
mkuu ni ngumu sanaSidhani kama atafukuzwa pale
Mkuu mbona unaongea kama unakata roho?Mshikamano wenu unatisha, huu uzi hauna jambo mahususi la kujadili lakini umekuwa na mvuto wa aina yake, hii ilinipelekea kuufananisha na ididingo the need, wengine wanaingia na wengine wanatoka, usiku na mchana hukosi mtu hapa.
Nawatakia majadiliano mema na ya amani na zaidi ya yote hitimisho lake liwe au yawe niambo yenye tija katika maisha yetu ya kila siku .
Mungu awalinde, awape ushirikiano na upendo wa dhati miongoni mwenu
Amen
Wenu
Jeimbiliuo