Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Mashabiki wa Arsenal wamesusa leo kwenda uwanjani
![]()
Hawamtaki Mr.Bean Wengewenge
...................
Mashabiki wa Arsenal wamesusa leo kwenda uwanjani
![]()
Na msimu huu hana kombe, ngoja tuone kama Man united yetu itachukua FAmkuu ni ngumu sana
wewe ni jipu, ..Kf-kapuku forum
Jf-jamii forum
Km daladala baba'keMshikamano wenu unatisha, huu uzi hauna jambo mahususi la kujadili lakini umekuwa na mvuto wa aina yake, hii ilinipelekea kuufananisha na ididingo the need, wengine wanaingia na wengine wanatoka, usiku na mchana hukosi mtu hapa.
Nawatakia majadiliano mema na ya amani na zaidi ya yote hitimisho lake liwe au yawe niambo yenye tija katika maisha yetu ya kila siku .
Mungu awalinde, awape ushirikiano na upendo wa dhati miongoni mwenu
Amen
Wenu
Jeimbiliuo
Mkuu nini tena.wewe ni jipu, ..
hahaha...wamtumbue tuu![]()
Hawamtaki Mr.Bean Wengewenge
...................
Wanapanda wengine wanashuka, pamoja sana mkuuKm daladala baba'ke
![]()
![]()
![]()
.............
Weekend hii ndio tunapiga semi final na Everton pale wembley...mtihani mgumuNa msimu huu hana kombe, ngoja tuone kama Man united yetu itachukua FA
Mechi ngumu kweli. Ila naamini tutashindaWeekend hii ndio tunapiga semi final na Everton pale wembley...mtihani mgumu
Mkuu umepotea sana.Tupo sana tu
#GGMUMechi ngumu kweli. Ila naamini tutashinda
na kwako pia chief.Wakuu naomba niwatakie usiku mwema.
Mungu awabariki sana.
*Amen*
Niko poa mkuuMkuu umepotea sana.
Hope uko poa.
Glory glory Man United#GGMU
Glory glory Man United