Makapuku Forum

Pamoja mkuu..

I miss her too
 
Aiseehhh sakayo mpaka namuacha kwenye mitambo halikua hana jibu linalo eleweka amesema anataka mapumziko tu,nikamuuliza kwanini?akasema ameamua tu kuchukua break,naona kuna vitu anaviweka sawa
mbona naskia habar za kunyapia nyapia kwamba eti kuna mtu kam boa humu kapuku ameamua asepe itabid tumpigir mmewe tuzungumze nae atupe ubuyu...... ......... ....... ......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…