Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Sawa shemeji.Kuwa mvumilivu
Mwambie afanye haraka.
Sawa shemeji.Kuwa mvumilivu
Love you more my lizziebettieI love u bae
SawaaaSawa shemeji.
Mwambie afanye haraka.
Hahaha kama ni bando basi ni unlimitedWataelewa tu
Hamna lolote,nasubiri shemeji akuache nione mwisho wako.Endelea kujidanganya kijana. Hujui chochote acha kufatilia ndoa yangu.
Usilolijua sawasawa na usiku wa giza
Wewe usikaribie kabisa. Halafu sitaki kuona unamqoute mpenzi wanguTena usikaribie kabisa.
HahahahahahaTulia wewe, leo nawachana watu live bila chenga
Thank you my love
Utasubiri sanaHamna lolote,nasubiri shemeji akuache nione mwisho wako.

We si umesema ulikua unacheza isidingo the need sasa mbona unaomba sana kumbe ilikua live bila chengaUwiiiiiiii hapana my sweety heart usifanye hivyo nko chini ya miguu yako
Kumquote siachi.Wewe usikaribie kabisa. Halafu sitaki kuona unamqoute mpenzi wangu
Kuna MTU anatuombea mabaya my loveThank you my love
Huyu atakuwa mkuu peterchoka.
Ashindwe na akakamaeKuna MTU anatuombea mabaya my love
Leo utaongea vyote. Ila hunipi tabu kijana. Tatizo upweke unakusmbua wewe ngoja nikupuuze tu hakuna namnaKumquote siachi.
Wewe unanipangia mipaka kama nani wakati mwanamke mwenyewe ndiye anakulisha.
Amen. Asitusumbue kabisa my loveAshindwe na akakamae
hahaha cc: peterchokaHuyu atakuwa mkuu peterchoka.