Makapuku Forum

Leo sitaleta kipengele cha " Leo katika Historia "

Kama kuna mtu yuko tayari anaweza akanisaida.
Sawa mkuu ubarikiwe,itabidi tujifunze kuandaa hivi vitu,Mungu atusaidie tuwe na skills tofauti za kuwezesha haya mambo,mimi nitaomba ukipata nafasi unielekeze namna ya kupata niwe nasaidia wakati mngine,ubarikiwe mkuu
 
Mwisho wa segment moja ndio mwanzo wa segment nyingine.

Kwa ushirikiano mnono kabisa wa BlessedHope na Obe (Jorowe)
Tunakwenda kupata Unbelievable Fact (UF)
Asante kwa kutushirikisha mimi na Obe kudhamini segment hii ubarikiwe
Leo tutaangalia zaidi vilevi twende sawa
 
Ameen mama mchuchu asante kwa sala ya asbh
ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…