Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Ray mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.
mungu amtie nguvuVidonda vya tumbo
mi mzima hofu juu yako[emoji4]
AMENSifav,Utukufu,Shukurani na heshima kwake BABA aliye juu mbinguni..tunaendelea kumuombea[emoji120]
Karibu sana Numbisa,ubarikiwe[emoji120]Am fine kabisaa. Nashukuru jukwaa lina mama mchungaji,maneno yake na shuhuda zake zinanisaidia sana tu. Mbarikiwe wote.
eeh kumbe uliona ile thread mi nashangaa kaanza kuumwa lini
Alinipa taarifa ya ugonjwa saa sita na robo usiku, hivyo nafikiri kwenye hiyo mida ya saa mbili alikuwa freshRay mgonjwa wa ajabu sana,kuvumilia maumivu na kuja kuchat tena,kaanzisha na thread ya kuwapondea madj wa arusha. Yale maumivu sijui alikua anayapoozaje.
AmenAm fine kabisaa. Nashukuru jukwaa lina mama mchungaji,maneno yake na shuhuda zake zinanisaidia sana tu. Mbarikiwe wote.
Am fine kabisaa. Nashukuru jukwaa lina mama mchungaji,maneno yake na shuhuda zake zinanisaidia sana tu. Mbarikiwe wote.
Anaumwa kitambo basi tu,JF nayo ni ugonjwa kuiacha ngumu
Alinipa taarifa ya ugonjwa saa sita na robo usiku, hivyo nafikiri kwenye hiyo mida ya saa mbili alikuwa fresh
Amen[emoji524] WAFILIPI 4
4 Furahini katika BWANA tena nasema furahini.
5 Upole wenu na ujulikane na watu wote.
6 Msijisumbue kwa neno lolote, bali katika kila neno kwa KUSALI na KUOMBA na KUSHUKURU,HAJA ZENU na zijulikane na MUNGU
7 Na AMANI ya MUNGU ,ipitayo AKILI ZOTE ,ITAWAHIFADHI MIOYO YENU NA NIA ZENU katika KRISTO YESU
[emoji523] MUNGU AWABARIKI MLALE SALAMA[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]