Makapuku Forum

9/African Drought Huu ukame ulitokea barani Afrika kati ya mwaka 1981 hadi 1984
Mito na maziwa yalikauka na hivyo mifugo na wanyamapori kufa kwa mamilioni
Watu milioni 1 na ushee walipoteza maisha
......_
Mungu aingilie kati yasitokee ni hatari sana kwa vizazi vyetu maana hata akiba ya chakula huwa hakuna,likitokea tumekwisha[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…