TOP TEN
Snura hakuwa mjinga alipoimba MAJANGA
Pia waswahili husema adui mwombee njaa
Basi leo tuone majanga 10 yaliyotikisa dunia kwa kuua watu wengi na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali
Karibuni
.... _..
Tumesharudishiana miili kila mtu na wakeMbona mnagombana wakati mwili wenu ni mmoja
Sitegemei kufanya hayo yotewatu wa bara hivi vitu ni vigeni kwenu mwanzo mgumu badae utazoea utajionea sawa tu
Acha tu iongezekeKushindana katika mapenzi ni kuongeza mzigo moyoni mwenu
Arrrrgh!10/North Korea Famine and Floods
Haya mafuriko yalitokea mwaka 1995 hadi 1998...yaani mafuriko yalisababisha njaa na mlipuko wa magonjwa
Majanga haya yalitokea kipindi ambacho viwanda nilikuwa vinadidomia
Watu milioni 3 walipoteza maisha achilia mbali mifugo na mali
......
Eeh mana naona nyie mnafaudu sanaNdo umefika kuwaza haya
Nani kawatenganishaTumesharudishiana miili kila mtu na wake
Nisamehe mpenzi wangu...Acha tu iongezeke
Yes...tuwe nayo aisee!Wataagiza ?
Jua mda haurudi nyuma unavyo sema kanichosha yupo anae sema nitampaje kaa chini myamalizeAcha tu iongezeke
Inatia uchunguArrrrgh!
Aisee hao watoto unaweza ukasema wakilala hawaamki..
Pole yao !
Eeer angalia mkuu..Salama mkuu, nilipotea kidogo baada ya kutekwa na mamazi wa Tanga
Nilijua tuWoyoooooooo am happy to hear that mama mchuchu
Cc: mondrayEeh mana naona nyie mnafaudu sana
Huyu unampeleka mashamba ya meru kule..kwenye slopes za mt. Meru kabisa..Ardi Rizal
Kijana aliyeushtua ulimwengu kwa kuvuta sigara 40 kwa siku sasa ana miaka 9
Hapa akiwa na miaka miwili
Hapa akituonesha picha yake ya utotoni akiwa na miaka miwili
Jinsi alivyo sasa
Nikusamehe ili uendelee kummendea Shunie sio
Hawa mbao tunawadubiri tukawapasue mbao sie
Mimi apaNani kawatenganisha
Nisamehe mpenzi wangu...