Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hahahha shemela we ni nabii au et lee hayupoAsante sana shemela wa sisi, nawe uwe na usingizi mnono, ukumbatie mtoto,maana Lee hayupo
hahahha shemela we ni nabii au et lee hayupoAsante sana shemela wa sisi, nawe uwe na usingizi mnono, ukumbatie mtoto,maana Lee hayupo
Ni kweli mkuuIla naona kila kitabu na zama zake maana hawa imebaki story
Hapo sasaSasa shem kweli story kavu tu
Akibanwa aache kutuahidi vitu hewaKesho atabanwa
nasinzia nitawaacha muda si mrefuIla wewe ndio ulipennda kukesha
Au kaibiwa saaatakua katekwa na totoz bakurutu
Kula muwa kawaida sana na wengine wanakula kiporo bila kupasha

Hakuamini au hamwaminianiMimi shedede haniamini sijui kwa nini
Watoto wa huko ni noma aiseeAlikuwa yupo chini anacheza hakuwa akila kitu
Mi nikichoka naishia hapo hapoHapo sasa
hahahha shemela angekuja kusema binamu tumchangie anunue saa nyingineAu kaibiwa saa
Wewe umesema hayupohahahha shemela we ni nabii au et lee hayupo
Hakukuwa na biashara ya maana jana pale kariakoo mvua ilibana sanaPoleni sana kuna mdogo wangu nilimtuma asubuhi kariakoo kaniambia ameshindwa kwenda kisa mvua
kwahiyo story na nn au na chaiHapo sasa
Raha ya hizo sehemu hamna homa za ajabu ajabuWenyeji wako vizuri
Haina shida, maadam umeishaaganasinzia nitawaacha muda si mrefu
mmh sa ngp nilisema au nilivyosema akirudi nilimaanisha humuWewe umesema hayupo