shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Unamkimbia tena Chaplinjaman si story tu bas acha nilale
Unamkimbia tena Chaplinjaman si story tu bas acha nilale
Kule kawaida sana mi nimelala sana pale njombe mjini nilikuwa naamka saa nne jua likiwa limesha punguza nguvu ya baridiSasa kuna kipindi natoka Songea mida ya asubuhi kama saa mbili hivi tupo kwenye basi kipima joto kinaonesha ni nyuzi joto 5 ghafla nikamuona mtoto age ya 3-5 yuko kifua wazi anacheza nilishangazwa sana
Shedede kashalala haaaaahaaaasijambo shikamoo
Ila naona kila kitabu na zama zake maana hawa imebaki storyHatari sana hao watu
Amen mkuuUbarikiwe
Usilale dada nataka uniambie habari za hapo mjinijaman si story tu bas acha nilale
Kumbe sema hukuipa uzito kwa kuwa hukujua kama alikuwa mtu hatari sanahalaf nakumbuka nilishaisoma
kiti kipiMarhaba! Hapo kwenye kiti hubanduki, unapika saa ngapi wewe!!
acha arudi mndali namsubili lee akirudi niongee naeKijana naona unataka urudishe kibarua cha mtu maana kafukuzwa atakapo peleka maelezo ya kuhusu wewe kutongoza ubavu wake kibarua kitarudi mahali pake
bas nalalaSwali zuri
Kula muwa kawaida sana na wengine wanakula kiporo bila kupashaSio anakula muwa
Sawa mkuuAlikuwa hajui
itakua bakurutu anapoendaga alipata totoz imemfungia binamu obeWeekend hii hajaonekana kabisa
AsantePamoja sana
naona maswali mengi bora nilaleUnamkimbia tena Chaplin
hahahhah nimeamkia tu shemelaShedede kashalala haaaaahaaaa
Yawezekana kabisa, maana sio kawaida yakeitakua bakurutu anapoendaga alipata totoz imemfungia binamu obe
mjini ni mvua tuUsilale dada nataka uniambie habari za hapo mjini
Ameenda kupeleka habari za mondray amesahau lindoShedede kashalala haaaaahaaaa
nilisoma sikumbuki niliishia page ya ngp akienda kuiba lazima abakeKumbe sema hukuipa uzito kwa kuwa hukujua kama alikuwa mtu hatari sana