shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mvua imenyeha sanaPoleni sana kuna mdogo wangu nilimtuma asubuhi kariakoo kaniambia ameshindwa kwenda kisa mvua
Mvua imenyeha sanaPoleni sana kuna mdogo wangu nilimtuma asubuhi kariakoo kaniambia ameshindwa kwenda kisa mvua
Sasa shem kweli story kavu tujaman si story tu bas acha nilale
bullar kitaa hiki sijamuona mdaPopo ni bullar
Kesho atabanwaMkuu ndo awe na kumbu kumbu kuwa ametupa ahadi hewa anadaiwa
atakua katekwa na totoz bakurutuKatususa siku mbili sasa
hahahhahahMtu anauliza unatoka saa ngapi kwenye kiti, ili afanyeje sasa![]()
![]()
Nawe pia damu ya yesu ikuzingireniwatakie usiku mwema mlale unono mashemela wa mm
damu ya Yesu iwalinde na kuwatakasa
nawapenda sana
kumbatieni wifi zangu
kama hamna kumbatieni mito yenu na baridi hili kama mpo wenyewe poleni sana
Mimi shedede haniamini sijui kwa niniIla we si ndo mlinzi wa akiba Fanya kazi kwa niaba
Khaaa ulitaka story na nnSasa shem kweli story kavu tu
Lakini usijali unapo choka unaachia hapo hapohahaha nimeishtukia hii
Nawe pia damu ya yesu ikuzingire
Kumbuka kujikabidhi kwa mungu kabla usingizi hauja kuzidi

Alikuwa yupo chini anacheza hakuwa akila kituSio anakula muwa
Asante sana shemela wa sisi, nawe uwe na usingizi mnono, ukumbatie mtoto,maana Lee hayuponiwatakie usiku mwema mlale unono mashemela wa mm
damu ya Yesu iwalinde na kuwatakasa
nawapenda sana
kumbatieni wifi zangu
kama hamna kumbatieni mito yenu na baridi hili kama mpo wenyewe poleni sana
hahahahMimi shedede haniamini sijui kwa nini
AmenAmeen mndaliubarikiwe
Hapo sasaUsije kukuta unasindikiza watu shift
Asante Princess wa Jukwaa!!usiku mwema allen
Wenyeji wako vizuriKule kawaida sana mi nimelala sana pale njombe mjini nilikuwa naamka saa nne jua likiwa limesha punguza nguvu ya baridi
Badae nikawa naenda kiwanda cha karatasi mgororo nikakuta hali ni ileile baridi mtindo mmoja
Ila wewe ndio ulipennda kukeshahahaha nimeishtukia hii
Sawa mkuu kesho kukicha vizuri itabidi aende afanye nilicho mwagizaMvua imenyeha sana