makapuku forum mi niko mgeni sana na jf (jamii forum) katika pita pita zangu nimeona niingie humu b'coz naona mnachat mambo mengi sana
"makidonyo oduenga" ndio majina yangu halisi natokea kenya
asubuhi nimetuma comment yangu paali hapa ila naona hakuna aliye-participate na post yangu
nataka niwe member wa humu makapuku b'coz mimi pia nisehemu ya makapukuz coz sina dollar
Mimi nahusikaje tena? Lee hanipendi kwa sababu anajua wazi kuwa akizubaa tu "navunja chaga". Umelikoroga mwenyewe usianze kutafuta mchawi. Una vyeti vya mgambo/JKT feki mpaka Lee amekushtukia?