Makapuku Forum


Upuuzi wa Wanasayansi

.......
 
Hatari sana, wataalamu wa DNA wanasema sisi binadamu tunatumia 4%tu ya DNA zetu, je 96% ziko wapi na zinatumikaje?
Hili bado ni fumbo kubwa. Wanasema kuwa siku tukiweza kusoma kila code na kuelewa kila kitu kilichomo basi si ajabu tutaweza kufumbua mafumbo yote ya maisha yetu - tumetoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Kwa nini tunazeeka? Kwa nini huwa tunaugua? Twaweza kuishi milele? The possibilities are endless! Wanasema siri zote - ikiwemo kama kuna ndugu zetu wengine huko katika sayari na malimwengu (universes) mengine pengine zimefichwa katika DNA zetu. Ndiyo maana Genetics bado ni mojawapo ya nyanja za sayansi zinazosisimua sana tangu mlango ufunguliwe na mtawa Gregory Mendel zaidi ya miaka 120 iliyopita.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…