Duh!!! Janga lingine DunianiUraibu wa mtandao China na hasa South Korea ni janga la kitaifa kwa sasa. Wengine mpaka wanatelekeza familia na watoto wachanga wanakufa kwa sababu mama yuko kwenye super speed cafe anacheza game na wenzake katika mashindano. Tena ukimuona aliyekolea sawa mwenye uraibu wa ngada ana unafuu: hawali, hawafui, hawaogi mpaka wengine wanakufa kwa njaa kisa gemu limenoga. Kazi kweli kweli!
Maombi hayoAsante sana mtumishi. Surprisingly jino limetulia na sijanywa hata haya mapain killers waliyonipa. Mungu ni mwema!
AmeeeeeeenTunamshukuru Mungu kwa hilo maana amejibu maombi yetu Haleluiya
Af wewe!!! stak utanBibi F
Haaaaahaaaa, mkuu yetu machoMkuu nimecheka kwa sauti majibu yanatakuja tusubiri
Kama ni hivyo basi majangaHuyo ni mtu wa masumbwi
.
Nimefuatilia nimegundua ni SAA 5
Isipokuwa hao mbumbumbu wameuchukua muda wa Malkia km ulivyo bila + 3
Ndo shida
.....
Sawa mkuuHaaaaahaaaa, mkuu yetu macho
Mtu ya Kongo habr yakoAf wewe!!! stak utan
We acha tuNaona mlikuwa chimbo moja
Powa Mndali, habari ya uzima?Mtu ya Kongo habr yako
Mi nasubiri uzibitishe kuwa mlikuwa chimbo mojaWe acha tu
Mi mzima mkuu nipo navilingisha gurudumu ya maishaPowa Mndali, habari ya uzima?
Lakiniii wewwwwWe acha tu
Yes tulikua chimbo moja kabisaMi nasubiri uzibitishe kuwa mlikuwa chimbo moja
Nini tenaLakiniii wewwww
Kweli mkuu umeongea vyema ..acha tu tuyasikie kwa wengine japo sio vizurii tubaki kutunishiana misuli kwenye keyboard na smart phone zetu ...ila kuna watu hawaijui raha ya dunia...inafika hatua unatembea na mkebe wa biscuit unashindwa umpe yupi uache yupiii...Hapo umenena. Watu wanajipiga vifua na kujiapiza mbele ya keyboard tu lakini ukiona hali halisi ya watu waliokumbwa na machafuko ya wao kwa wao ni hatari mno. Mbaya zaidi hata hakuna anayefaidika mbali na hao ma war lords na wakubwa wao wa nje. Watoto na wanawake hasa ndiyo huteseka sana. No matter what huwa naomba sana kikombe hicho kiipite Tanzania yetu tuipendayo. Asante kwa angalizo makini mkuu.
Uthiwaaajibuuuu tulikokuwaaNini tena
Haya ngoja iwe siri yetuUthiwaaajibuuuu tulikokuwaa