Makapuku Forum

Tumekumis sana Lee karibu sana naamini Mungu alikufanyia wepesi katika kila jambo.

Tumekuwa tunakuombea,tunamshukuru sana Mungu umerudi salama ,karibu kaa nasi[emoji120]
Mama mchuchu nashukuru sanaaaaaa kwa upendo wenu nimekutaa pm imejaaa kweli love ya kutoshaaa ...nimemisi baraka zako za mapema ila kwa hizi siku 2 ntazipata na matumaini ulikuwa hunisahau kwenye maombi yakoo
 
sara-Sala[emoji4]


[emoji120] [emoji109]
 
Natamani Joshua ASHINDE ataleta mapinduzi kwenye huo uzani.

Asante sana[emoji120]

Nasikia DSTV hawajapewa haki na Waingereza hivyo kimataifa ni SKY SPORTS
Kibongobongo ndo TV1
...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…