Kuliko sobibo1945 - Gereza la Mateso la Dachau lililokuwa chini ya NAZI lakombolewa na Marekani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia.
Lilikuwa ni moja katinya magereza yenye mateso na mauaji makubwa chininya Adolf Hitler.
Huyo msanii aliyefariki anaitwa nani?
PamokoSenkyu mkuu
Natumai kesho ndio mambo yatakuwa hadharanibado akijaekeweka ndio tunafanya kupekua kila sehemu
Daah!!! Ilikuaje akabadilika hivyo?Adolf Hitler alivyo kuwa mdogo alikuwa na ambition ya kuwa padri (baba paroko)
lakini maisha talivyokuwa ya uongo na kweli Adolf akawa tishio la dunia
Asante mkuu!Leo Katika Historia:
Sina la ziada, weekend njema.
HatariAisee
Kweli kabisa
Mzee wa arusha upoNdicho nachosubiri pia ,,,,nikikuta jina nachoma vyeti naenda kugombea ubunge niwe waziri
Inatokana na ugeniKweli kabisa
K,koo kulikuwa na kijiwe kinaitwa Saigon1975 - Majeshi ya Marekani yaanza kuondoa Wananchi wake huko Saigon kabla ya wao nao kujiondoa rasmi katika vita hiyo na kurudi nyumbani. Hii ni baada ya Majeshi ya Vietnam ya Kaskazini kukaribia kutwaa mji wa Saigon na kujipatia Ushindi.
Sizonje naye alikuwa na ndoto hizoAdolf Hitler alivyo kuwa mdogo alikuwa na ambition ya kuwa padri (baba paroko)
lakini maisha talivyokuwa ya uongo na kweli Adolf akawa tishio la dunia
Asante mkuu musollin kwa historiaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, weekend njema.
Nzuri, vip pande hizoSalama tu mkuu
Habari ya uzima
hahahDaah!!! Ilikuaje akabadilika hivyo?
Kweli tupendane tuombeane,kila mtu anapitia changamoto fulani tusiache kuchukuliana kwa upendo na kuvumliana.Yeah, yaani jamaa kafa unexpectedly kabisa bado akiwa kijana tena mtu wa mazoezi gym humkosi. Sasa sijui ni Malaria ameichezea. So sad!
Root canal mateso tu. Nadhani nitaling'oa tu halafu nitaangalia utaratibu wa kuweka jingine. Nikimeza dawa za maumivu mpaka nasahau lakini after 6 hrs naanza tena kusikia mpwito mpwito.
Asante sana kwa magazeti mkuu ubarikiwe,siku njema naweweMpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti ya leo
Nawatakieni jumamosi njema