Ha hahahahah, ukifurahi nami nafurahia. Seriously, ninapoandika kuhusu saa yangu si kwamba nina makidai, wala nawaringishia Makapuku ( najua wengi wana saa) la, ni kitu cha kujivunia kuwa na saa.
Hebu sikiza nyimbo hizo nilizotaja na kuimbwa Bill mwenyewe sio waliozirudia
Ndo maendeleo, nimeanza na saa. Nikitaka simu ya tachi nitawashirikisha.