Makapuku Forum

Iwalikuwa na uhusiano wa kimapenzi kiasi kwamba Wacko Jacko akawa "anahonga" almasi za kufa mtu
....
 
walikua na mahusiano mpaka wakafunga ndoa
 
mkuu mi sio mfuatiliaji wa hizi mambo, ila nimeona tu ina trend sana kwenye social network, mi zangu ni football, formular one, na basketball, ila kwenye huo mchezo ambao hauna hata sub walaaa.
Sub ya nini ndugu? Hapa ni wewe na roho yako na ukizubaa unauliwa. Ni mojawapo ya michezo michache inayouanika unyama wa binadamu - kuwa binadamu ni mnyama tu japo amejipachika cheo cha Homo Sapiens! Ndiyo maana ameunda mpaka masilaha makali ya Nyuklia, masilaha ambayo yanaweza kuka-mute kasayari kake haka anakokategemea kasikalike tena. Sijui plan B ni nini....

Ni mfuasi mzuri wa Immanuel Kant na falsafa yake ya Existentialism. Huwa inanipa mwanya wa kuziona mbwembwe na unafiki wa binadamu ambaye kimsingi ni mnyama tu anayesubiri kufa - japo ana mategemeo ya kuokolewa kupitia dini zake mbalimbali...

Kesho Wembley stadium kunawaka moto. Japo najua pengine Klitchiko atashinda ila ingependeza kama angedundwa. Amekuwa reigning championi kwa zaidi ya miaka 10 na heavyweight division imedumaa kwa sababu yake. Akidundwa halafu astaafu pengine tutapata heavyweights wengine "wanaojua" kupigana walete msisimko mpya tuendelee kufaudu unyama wa Bin Adam. Kulia ni Vitali Klitchiko. Ni kaka mkubwa wa Vladimir anayepigana kesho. Hapa alikuwa anamdunda Shannon Briggs. Vitali (alikuwa bondia mzuri kuliko Vladimir) yeye alishastaafu kitambo...
 
mkuu naomba kama hutojali nielezee kidogo hili pambano,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…