1993 - Ndege iliyokuwa imebeba timu ya taifa ya Zambia yaanguka huko katika pwani ya Gabon na kuua wachezaji wote pamoja na viongozi.
Walikuwa wanaelekea Senegal kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia la mwaka 1994.
Chanzo cha ajali hiyo ni injini ya ndege waliyokuwa wamepanda kushindwa kufanya kazi na kuharibika. Ikimbukwe walikuwa wamepanda ndege ya jeshi.
RIP Nkrumah1972 - Kwame Nkrumah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Ghana.
huyo mke wa kigogo aibu yake
kajala hata mshipa wa aibu hana sio wa kumfanyia hivi baba watu
1994 - Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Kidemokrasia wafanyika nchini Afrika Kusini ambapo kwa mara ya kwanza Watu weusi waliruhusiwa kupiga kura.
shedede umeamkajeulitaka kujua nipo mnyapie shunie
asante shemela kwa magazeti ubarikiwe sanaMagazeti haya yamewajiwa kwa udhamini mnono wa mama mchungaji Blessed Hope, Tukutane tena kesho
aiseeTongotongo la Asubuhi
Nepal ndo nchi pekee duniani benders isiyo na pembe NNE(mstatili)
Nepal inapatikana Kusini mwa Asia kati ya Tibet na China
Sasa sijui aliyebuni hiyo bendera alikuwa amevuta bangi gani hadi mupitisha mkasi na kuifanya iwe na umbo hilo
Asubuhi njema
..............
Daaaah
Kisha akaninginizwa km mkungu wa ndizi
....
Asante shemelaasante shemela kwa magazeti ubarikiwe sana
safi mamy za kwakoZa asubuhi wapendwa wangu
Nashukuru kwa kulitambua Hilokajala hata mshipa wa aibu hana sio wa kumfanyia hivi baba watu
kweli wanawake tupo tofauti
Mussolin ndio hii waliobaki wakajiita chipolopolo1993 - Ndege iliyokuwa imebeba timu ya taifa ya Zambia yaanguka huko katika pwani ya Gabon na kuua wachezaji wote pamoja na viongozi.
Walikuwa wanaelekea Senegal kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia la mwaka 1994.
Chanzo cha ajali hiyo ni injini ya ndege waliyokuwa wamepanda kushindwa kufanya kazi na kuharibika. Ikimbukwe walikuwa wamepanda ndege ya jeshi.
Asante mkuu musollin kwa historiaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
2014 - Papa John Paul wa II anachaguliwa kuwa Mtakatifu.