Makapuku Forum

8/Saratani
Saratani kutokea pale seli zinaposhindwa kufanya kazi(kuf}..ikumbukwe viungo vyote kwenye mwili wa binadamu vimeumbwa kwa seli hivyo basi kila kiungo kina saratani yake
Wana wake hushambuliwa na saratani ya matiti na kizazi wakati wanaume ni tezi dume
Saratani husababishwa na sababu za kibaolojia. Uvutaji sigara n.k
Huu ndo ugonjwa uliowaua Nyerere,Balali,Sitta
Husababisha vifo 1.5 milioni kwa mwaka

# 9 nimeruka kimakosa naileta baada ya # 8
......
 
Aiseee kumbe wanaume inakua kwenye tezi dume
 
mlinzi hauonekani bora nijilinde mwenyewe tu hakuna namna ingine
naivuta taswila ya usemi wako bora nijilinde mwenyewe
naona hapo kunatatizo dr.lee anaakili sana angeweza angekwambia ujilinde mwenyewe
yeye kama doctor alijua kabisa vishawishi ni vingi sana ndo mana kaniambia nikulinde mimi na kwanini hakumwambia nyagei,mondray

hivo alijua iyo kazi haiwezi nishinda worryout shemela
 
huonekani sasa
 
7/Ukimwi
Huu huenezwa zaidi kwa kujamiiana(hatachi ng'o}
Haina tiba bali una kings(kondomu)....Zamani mtu akiugua hili gonjwa ilikuwa ni rahisi kumjua ila siku hizi ARV zimewafanya watu wanenepe na kupunguza vifo vya mapema
Huua watu 1.8 Milioni kwa mwaka
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…