Makapuku Forum

Leo Katika Historia:

1945 - Ni siku ya ukombozi ndani ya Italy ( Liberation day ) ambapo waitaliano wanaadhimisha siku ya kudondoka kwa utawala wa Kifashisti na kukamatwa kwa Dikteta wa Nchi hiyo Benitto Mussolini.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] .....hivi Mussolin5 kwanini uliamua kutumia hii ID?
 
Ana watoto ambao wanatosha kuwa na wilaya yao tu

Kweli maji hufuata mkondo
 
Ndo aliyemtengeneza Big Fella wakiwa Everton na kuhama naye kumleta Man Utd LVG akashindwa jinsi kumtumia na kutoka kumuuza
Ila sasa kawa kipenzi cha Mourinho hata avurunde kucheza ni lazima yaani km Bashite na Mkulu
......
Ila kwa sasa Mkubwa FELLA ameiva sana katika mechi ambazo ni za kimbinu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…