Hilo Ziwa ni crater lake yaani lipo juu ya Mlima halafu hakuna mto unaoelekea wala kutokea huko
Lina tope sana ndo sababu kulihusisha na ushirikina kudai linameza watu wakati siyo kweli bali inatokana na kutokuwa na fukwe/beach hivyo ukiingiza tu mguu ni balaa
Rekodi yake pekee ninayoijua ni kwamba ni Crater Lake maarufu Tanzania
......