Makapuku Forum

Katika kufuatilia nimegundua washabiki wengi wa man u wanamchukia mess na washabiki wa arsenal wanamchukia cr7
me ni shabiki wa Man United ila sijawahi kumchukia Messi, labda ile kiunazi ili nimpambe Ronaldo, hawa jamaa tuwaache tu wanaishi wenyewe katika dunia yao
Kaka, Ronaldinho, Ronaldo9, Zidane, Rivaldo na wengine kama Owen, Bergkamp, Klueviet, Okocha, Giggs, Cantona na wengine wengi tu waliishi ktk dunia moja

Unapomkubali Messi na kumkataa Ronaldo nitakuona wewe ni mshabika na sio mtu wa mpira

usijisifu una mbio msifiu na anaekukimbiza

don't take them for granted lol

we unamkubali nani kati yao Mndali??
 

Hiyo nukuu inatufundisha kupotezea mambo ya kipuuzi puuzi ili kuweza kutimiza malengo yetu ya maana ...ujumbe ungefaa umfikie Sizonje apunguze kupaniki
Hili nukuu si la kitoto yaan ni ukweli mtu ,
ukitaka mafanikio usitangaze vita na maadui maana muda mwingi utatumia kupambana badala ya kutafuta mafanikio
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…